Maelezo ya tangazo
Kampuni ya CPM Business Consultants, inayojishughulisha na kutoa mafunzo ya ujasiriamali na ushauri wa biashara, itaendesha semina ya Kilimo cha Green House na ufugaji wa kuku na samaki kwa watu wote kwa malipo ya sh. 20,000 kila mshiriki. Semina hii itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 13/6/2015 saa 5.00 asubuhi katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti. Katika semina hiyo tutatoa fursa kwa washiriki kununua vitabu vya ujasiriamali ambavyo gharama yake ni sh. 6,000 kwa wale watakaohitaji.
Mada zitakazotolewa ni;
— Kilimo cha green house
— Ufugaji wa kuku wa kienyeji au Chotara
— Ufugaji wa Samaki.
— Jinsi ya kuanzisha biashara za aina hii au zingine bila mtaji au na mtaji kidogo.
-Namna ya kuongeza wateja na mauzo katika biashara yako
— Maswali na majibu.
Kwa maelezo zaidi au kuthibitisha ushiriki kwenye semina, piga simu namba 0784394701 na kulipia ushiriki wa semina hiyo. Tafadhali mwambie na mwenzako, sambaza ujumbe huu kadiri inavyowezekana.
CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI CPM BUSINESS CONSULTANTS
Maelezo ya jumla
20 Sh
DAR ES SALAAM
Tangazo lililowekwa
Shiriki tangazo
Usimamizi wa tangazo
Takwimu za tangazo
Idadi ya maoni : 440
Ziara ya mwisho tarehe : 17/04 saa 10:46
Rejea : 45052